Rushwa ya ngono imeendelea kuwa mwiba kwa wanawake katoka maeneo mbalimbali ya utafitaji wa wanawake kitu ambacho kimeendelea kuwarudisha nyuma na kushindwa kufikia ndoto zao Na Timotheo Leonard Wanawake wachuuzi wa samaki katika Soko la Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji, wameeleza kukabiliwa na vitendo vya rushwa ya ngono wanapotekeleza shughuli zao za kila siku za biashara.