Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vya Ebola na ugonjwa huu huenea kupitia kugusana na damu au majimaji ya mwili ya mtu aliyeambukizwa Na Hagai Ruyagila Wazazi na walezi wa watoto wenye mahitaji maalum wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameaswa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Ebola ili kuwakinga watoto wao na maambukizi ya ugonjwa huo. Wito huo umetolewa na Mkuu wa…