Uchaguzi ni msingi muhimu wa demokrasia katika nchi yoyote na kupitia uchaguzi, wananchi hupata nafasi ya kuchagua viongozi wanaowataka kwa hiari yao Na Hagai Ruyagila Makarani waongozaji wa wapiga kura katika uchaguzi mdogo wa Madiwani kata ya Nyumbigwa Jimbo la Kasulu mjini mkoani Kigoma, wametakiwa kuwa waadilifu na kuepuka kuwa chanzo cha migogoro kwa vyama vya siasa.