Mradi wa kugeuza taka kuwa fursa ya kiuchumi una mchango mkubwa katika maendeleo ya jamii kwani unasaidia kuongeza kipato, kulinda mazingira, kuboresha usafi pamoja na kuhamasisha matumizi bora ya taka Na Lucas Hoha Shirika la Catholic Relief Services (CRS) kwa kushirikiana na Caritas pamoja na wadau wengine wakiwemo shirika la JIDI, chini ya ufadhili wa Umoja wa Ulaya…