Usafi wa mazingira ni jambo muhimu katika maisha ya kila siku na mazingira safi huchangia afya bora ya watu, huongeza ustawi wa jamii, na husaidia kuzuia kuenea kwa magonjwa Na Hagai Ruyagila Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia usafi wa mazingira katika makazi na maeneo yao ya biashara ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko yanayosababishwa na…