June 20, 2026
Uvinza yajiandaa ununuzi wa pamba msimu wa 2025/2026

Mpango huo umetajwa na kuwa na manufaa kwa wakulima iwapo utasimamiwa vizuri na kuhakikisha wakulima wanapata faida Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Mh. Dinah Mathamani, ameongoza kikao cha wadau wa zao la pamba kilichofanyika Juni 19, 2025 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza kwa lengo la kujadili maandalizi ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2025/2026.

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *