Wananchi na familia zilizoathirika na mvua Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhali ya mvua kipindi hiki ambacho mvua zinaendelea kunyesha Na Mwandishi wetu Jumla ya nyumba 121 na makanisa manne zimeezuliwa paa, huku nyingine zikiharibika kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, ambapo kwa kipindi cha mwezi mmoja tangu kuanza kwa mvua hizo…