Watoto wenye ulemavu wana haki ya kupata elimu na kushiriki katika shughuli mbalimbali kama watoto wengine Na Josephine Kiravu Wazazi na walezi Mkoani Kigoma wametakiwa kuacha kuwafungia ndani watoto wenye ulemavu badala yake wapelekwe shuleni kwa ajili ya kupata elimu na ujuzi kwenye fani mbalimbali. Hayo yamejiri wakati wa zoezi la utoaji elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa kumpatia…