October 30, 2026

Maendeleo ya teknolojia na mawasiliano imeendelea kukua kwa kasi na hivyo kuongeza matumizi ya mitandao ya kijamii miongoni mwa jamii na matumizi chanya yanaweza kuongeza fursa na kipato kwa vijana hasa wananvyuo Na Hagai Ruyagila Wanafunzi wa Chuo cha FDC Kasulu kilichopo katika Halmashauri ya Mji Kasulu, Mkoani Kigoma, wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kama fursa ya kujipatia…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *