October 30, 2026

Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo hawana budi kuendelea kuweka mazingira na wezeshi ili kuwasaidia wazee kwa ajili ya ustawi wao kwa kuboresha huduma ikiwemo malazi Na Filbert Gabriel Wazee ni kundi la watu waliosahaulika katika mambo mengi ambapo theluthi moja ya wazee wote Tanzania wanaishi chini ya msitari wa umasikini wa mahitaji ya msingi na 14%

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *