November 2, 2026

Mkuu wa Wilaya Uvinza Mkoani Kigoma Mh. Mtela Mwampamba amesema kuwa wazazi na walezi hawana budi kushirikiana na serikali katika kuhakikisha watoto wanapata chakula wakiwa shuleni Na Orida Sayon Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Wilaya Uvinza Mkoani Kigoma wameshauriwa kuchangia chakula ili watoto wote wapate chakula wawapo shuleni ili kudhibiti utoro na wanafunzi kufeli mitihani…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *