2516940_IMG_20200911_175459_3

Mgombea ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki Eva Kaaya kupitia NCCR Mageuzi, amezindua kampeni zake ambapo miongoni mwa mambo amabayo ameahidi kuyafanyia kazi endapo atachaguliwa ni kuwezesha upatikanaji wa mabweni ya shule katika kila kata

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *