Ukusanyaji wa mapato ni nguzo muhimu katika maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla na mapato yanayokusanywa na serikali kuu na mamlaka za serikali za mitaa kupitia kodi, ushuru na vyanzo vingine huwezesha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayowanufaisha wananchi Na Hagai Ruyagila Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma imefanikiwa kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato ya…