Elimu ya kujikinga ya ugonjwa wa ebola imeendelea kutokelewa kwa jamii ili kuhakikisha wananchi wanachukua tahadhali za kujikinga na ugonjwa wa ebola na mpaka hakuna taarifa za uwepo wa ugonjwa huo nchini Na Mwandishi wetu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Dkt. Damas Kayera amesema mkoa huo umechukua tahadhari mbalimbali za kujiandaa kukabiliana na milipuko ya magonjwa ya kuambukiza…