July 22, 2026

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya Uvinza Mkoani Kigoma limetakiwa kuendelea kushirikiana katika kusimamia ukusanyaji wa mapato ili kusaidia katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo Na Mwandishi weu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza kwa kupata hati safi katika ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2024/

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *