July 30, 2026

Serikali imeendelea kuboresha miradi ya maendeleo na kufikisha huduma bora kwa wananchi ambapo wametakiwa kuitunza ili iweze kudumu Na Mwandishi wetu Wananchi wa Wilaya ya Kakonko wanatarajia kupata huduma bora zaidi za afya, elimu na biashara kufuatia hatua nzuri ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kwa fedha za Serikali Kuu…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *