Katibu tawala wa Wilaya ya Kasulu Bi. Teresia Mtewele amewataka madiwani kuhakikisha wanatoa taarifa za miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao ili wananchi waweze kuifahamu Na Emmanuel Kamangu Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wametakiwa kuhakikisha wanajitahidi kutoa mrejesho kwa wananchi juu ya shuguli mbali mbali za maendeleo zinazotekelezwa na serikali ya…