Chanjo ya wanyama ni muhimu sana katika ufugaji kwa sababu husaidia kuzuia magonjwa mbalimbali yanayoweza kuathiri wanyama kama ng’ombe, mbuzi, kondoo, kuku na mbwa wanaweza kushambuliwa na magonjwa ambayo yanaweza kusababisha vifo na hasara kubwa kwa wafugaji Na Hagai Ruyagila Wananchi na wafugaji katika Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuhakikisha mifugo yao…