Capture

Erling Haaland alifunga mabao mawili aliporejea Leeds na kuwa mchezaji mwenye kasi zaidi kuwahi kufikisha mabao 20 kwenye Premier League, huku Manchester City ikipanda hadi nafasi ya pili na kupunguza pengo la vinara Arsenal hadi pointi tano kwa ushindi mkubwa wa 3-1 kwenye Elland Load

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *