Capture

Thamani ya staa wa Manchester City, Erling Haaland kwa sasa ni euro bilioni 1.

Haya yameelezwa na wakala wa staa huyo, Rafaela Primenta ambaye anamsimamia Haaland na mastaa wengine akiwemo Paul Pogba, Marco Verratti, Gianluigi Donnarumma, Matthijs de Ligt.

Haaland  msimu huu amefanikiwa kufunga mabao 26 kwemye ligi kuu ya Uingereza, huku Ligi ya Mabingwa Ulaya akifunga mabao matano katika mechi nne.

Pimenta alisema: “Erling Haaland kwa sasa thamani yake ni euro bilioni 1 na kwenye hili nipo siriazi, hii ndiyo thamani yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *