
Chelsea wameanza mazungumzo na Barcelona kwa ajili ya kumnunua kiungo wa kati Mholanzi Frenkie de Jong, 25, ambaye amekuwa akihusishwa pakubwa na Manchester United msimu huu. (Athletic – subscription required)
De Jong angependelea kuhamia Chelsea badala ya Manchester United. (Metro)