Wataalamu wa mifugo Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma wametakiwa kuboresha utoaji qa guduma bora kwa wafugaji wa mifugo Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh. Mtela Mwampamba , ametoa maelekezo mbalimbali kwa Wataalamu wote wa Mifugo ili kuboresha utoaji wa huduma Bora kwa wafungaji wa mifugo. Akizungumza wakati ufunguzi wa mafunzo ya Wataalamu wa mifugo, Mh.