November 6, 2026

Licha ya hamasa na elimu kuendelea kutolewa kwa wananchi mkoani kigoma kuhusu vitendo vya ukatili bado vitendo hivyo vimeendelea kuripotiwa kwa baadhi ya maeneo ambapo watoto ni miongoni mwa kundi kubwa linalokumbana na vitendo hivyo vya ukatili Na Orida Sayon Wito umetolewa kwa wazazi na walezi Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya ukatili na kutoa taarifa…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *