November 6, 2026

Ujenzi wa daraja la Luiche umetajwa kuwa mkombozi kwa wananchi na kuchochea uchumi wao Wananchi katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wameeleza kunufaika na ujenzi wa Daraja la Luiche na kuepukana na adha walizokuwa wakipitia kipindi cha nyuma. Hayo yamebainishwa na Meneja wa TARURA Mkoa wa Kigoma Mhandisi Goodluck Mbanga kuwa TARURA kupitia Mradi wa Uendelezaji wa miundombinu…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *