Halmashauri ya Wilaya Uvinza Mkoani Kigoma imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo imesaidia kusogeza huduma kwa wananchi Na Mwandishi wetu Ujumbe wa ALAT Mkoa wa Kigoma umetembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, huku ukieleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa katika utekelezaji wa miradi hiyo.