November 9, 2026

Halmashauri ya Wilaya Uvinza Mkaoni Kigoma imezindua rasmi msimu wa kilimo wa mwaka 2026/2027 ambapo wakulima wameaswa kuzingatia kanuni bora za kilimo ili waweze kupata mazao mengi yenye tija na kuachana na kilimo cha mazoea Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Mh. Mtella Allam Mwampamba, amewataka wakulima Wilayani humo kuachana na kilimo cha…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *