KUUWA

Al Hilal kutoka Saudi Arabia wanakaribia kukamilisha dili la Yassine Bono mlinda mlango wa Sevilla na Timu ya Taifa ya Morocco na Mazungumzo kati ya Bono, Sevilla na Hilal yapo mwishoni kukamilisha dili hilo kwa ada ya karibu €18/19m zaidi ya bilioni 50.

Bayern ambao nao walikuwa kwenye mbio za kunasa saini ya nyota huyo wanaelekea ukiongoni mwa mbio hizo wakiamini kwamba ofa ya Al Hilal iko juu zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *