November 7, 2026

Msaada huo unatajwa kupunguza upungufu wa madawati katika Shule hiyo huku uongozi wa shule hiyo ukitakiwa kutunza samani hizo ili ziweze kufanikisha lengo lililokusudiwa Na Hagai Ruyagila Kampuni ya CR CONSORTIUM, kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) kupitia mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), imetoa msaada wa madawati 25, meza 10 na viti 10 kwa Shule ya Msingi Mumnyika iliyopo…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *