Serikali ya Mkoa wa Kigoma imekabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa kaya zilizoathirika na mvua Na Josephine Kiravu Mkuu wa mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari wakati mvua za elnino zikiendelea kunyesha ili kuepuka maafa yanayosababishwa na mvua hizo. Ametoa wito huo wakati akitoa mahitaji ya kibinadamu kwa kaya zilizoathirika na mvua…