MV Liemba, ambayo imekuwa sehemu muhimu ya historia ya usafiri katika Ziwa Tanganyika, inatarajiwa kurejea katika huduma ikiwa ni hatua muhimu katika juhudi za serikali kuimarisha usafiri wa majini nchini Na Mwandishi wetu Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kuwa meli ya MV Liemba itaanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji wa abiria kuanzia Septemba 1, 2026…