Maonesho ya wakulima maarufu nane nane yamefungwa rasmi leo ambapo wananchi wamepata nafasi ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo teknolojia za kilimo huku Wilaya ya Uvinza ikiibuka kinara wa maonesho hayo kwa kundi la mamlaka ya serikali za mitaa Na Mwandishi wetu Mkoa wa Kigoma umeibuka mshindi katika maonesho ya wakulima 88 kanda ya magharibi kwa mwaka 2026 kwa kushika nafasi ya…