Watoto wa kikie wanatakiwa kuwekewa mazingira weshezeji kwa ajili kusoma na kutimiza ndoto zao. Na Hagai Ruyagila Taasisi ya Shukrani Foundation imetoa vifaa vya shule vyenye thamani ya shilingi milioni 3 kwa wasichana 50 wa shule za msingi na Sekondari katika Halmashauri ya mji Kasulu Mkoani kigoma kwa lengo la kuwahamasisha kuhudhuria masomo shuleni. “Nguvu ya Binti ipo…