July 3, 2026

Amani ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote na bila amani, shughuli za kiuchumi, kijamii na kisiasa haziwezi kufanyika kwa ufanisi Na Hagai Ruyagila Wananchi wa Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wamehimizwa kuendelea kudumisha amani, umoja na mshikamano, huku wakiepuka vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama na utulivu wa nchi. Wito huo umetolewa na Mbunge wa Jimbo la Kasulu…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *