June 24, 2026

Maendeleo yanategemea kwa kiasi kikubwa uwezo wa taasisi za Serikali kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi ili kufanikisha hilo, ni muhimu kuwa na vitendea kazi vya kutosha na vinavyokidhi mahitaji ya kazi Na Mwandishi wetu Katibu Tawala wa Wilaya ya Kibondo, Bi. Upendo Marango, akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Mhe. Aggrey Magwaza, amezindua gari jipya aina ya Land Cruiser lenye…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *