June 20, 2026
Mahakama tatu za mwanzo zazinduliwa Kigoma

Uzinduzi wa mahakama hizo kunatajwa kusogeza huduma karibu na wananchi ambao walitumia muda mwingi kufuata huduma za mahakama mbali na maeneo yao Na Timotheo Leonard Mahakama za Mwanzo za Bangwe, Herujuu na Manyovu zimezinduliwa rasmi leo Juni 19, 2026 mkoani Kigoma, hatua inayolenga kusogeza huduma za sheria na haki karibu zaidi na wananchi wa maeneo hayo.

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *