June 14, 2026

Wakati vikundi mbalimbali vilivyokidhi vigezo na kupokea mikopo vikiwa vinaendelea utekelezaji wa miradi yao timu ya kutathimini mikopo imewatembelea ili kujionea shughuli wanazofanya Na Mwandishi wetu Timu ya tathmini ya vikundi ngazi ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza imetembelea vikundi vitano vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika Kata za Itebula na Mwakizega kwa lengo la…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *