Serikali Wilayani Kakonko Mkoani kigoma imesema inaweendelea kuweka mazingira rafiki na wezeshi kwa wawekezaji ili waweze kuwekeza katika Wilaya hiyo Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Kakonko, Kanali Evance Mallasa, kwa kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, Ndaki Stephano Mhuli wamepokea ugeni wa wawekezaji na wafanyabiashara kutoka kampuni ya…