June 2, 2026

Damu ni rasilimali muhimu katika huduma za afya kwa kuwa hutumika kuokoa maisha ya wagonjwa wanaopoteza damu kutokana na ajali, upasuaji, kujifungua na magonjwa mbalimbali Na Emmanuel Kamangu Mkoa wa Kigoma umeweka lengo la kukusanya chupa 21,000 za damu salama kila mwaka ili kuhakikisha wananchi wanaopoteza damu kutokana na sababu mbalimbali wanapata huduma kwa wakati na kuokoa maisha…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *