Hedhi ni mchakato wa kawaida wa kibaiolojia unaowapata wasichana wanapofikia umri wa balehe ingawa ni jambo la kawaida na muhimu kwa afya ya uzazi, hedhi inaweza kuwa changamoto kwa baadhi ya watoto wa kike kutokana na ukosefu wa elimu sahihi, vifaa vya usafi, na mazingira rafiki Na Tryphone Odace Wasichana waishio maeneo ya vijijini wilayani Uvinza mkoani Kigoma…