May 21, 2026

Elimu huwasaidia watoto kupata maarifa, maadili na stadi za maisha zinazowawezesha kujitegemea na kuwa na maisha bora ya sasa na ya baadaye na watoto wanaopata elimu huwa na nafasi kubwa ya kupata ajira, kupunguza umaskini na kuchangia maendeleo ya familia, jamii na taifa kwa ujumla Na Hagai Ruyagila Wazazi na Walezi Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wameaswa kuwapeleka watoto wao shule ili…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *