Kikao cha kamati za mikopo ya asilimia 10 husaidia kuhakikisha uwazi na usahihi katika utoaji wa mikopo kwani viongozi hupitia taarifa mbalimbali za vikundi na waombaji wa mikopo ili kuhakikisha fedha zinawafikia walengwa sahihi wenye sifa zinazotakiwa Na Mwandishi wetu Viongozi wa kamati ya mikopo ngazi ya Kata kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wameshiriki katika…