Serikali imekuwa ikitoa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya halmashauri kwa makundi mbalimbali, huku ikiweka msisitizo katika usimamizi na utoaji wa elimu kwa wanufaika ili kuhakikisha mikopo hiyo inaleta matokeo yaliyokusudiwa. Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Bi. Zainab Katimba, amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii kuendelea kutoa elimu na hamasa kwa wananchi…