August 20, 2026

Kata ya Kibirizi ni miongoni mwa Kata zenye mwingiliano wa watu kutokana na shughuli mbalimbali za biashara zinazofanyika katika eneo hilo na kutokana na sababu hiyo vyombo vya usafiri lazima ziwepo na uhitaji wa stendi ni jambo muhimu Na LucaS Hoha Baadhi ya madereva wa vyombo vya moto vinavyosafirisha abiria kutoka Soko la Kibirizi kwenda Ujiji na maeneo mengine ya Manispaa ya Kigoma…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *