August 24, 2026

Malezi bora kwa watoto ni msingi imara kwa maisha yao ya baadaye Na Hagai Ruyagila Wazazi na Walezi katika Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwalea watoto wao katika misingi ya maadili mema, ili waweze kuwa na mwenendo mzuri, kuheshimu jamii na kuwa viongozi bora wa baadaye. Wito huo umetolewa na kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu, Nurfus Aziz Ndee…

Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *