Ulinzi shirikishi ni jukumu la mwananchi katika kuhakikisha vitendo vya wizi, udokozi na uporaji vinakomeshwa kwenye jamii na kuchochea maendeleo Na Hagai Ruyagila Uwepo wa kikundi cha ulinzi shirikishi katika Kata ya Murusi, Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma, umeendelea kusaidia kuimarisha hali ya ulinzi na usalama pamoja na kurejesha utulivu kwa wananchi wa kata hiyo.