Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma SACP Filemoni Makungu amewataka wananchi Mkoani Kigoma kuendelea kutoa taarifa za vitendo vya uhalifu na wahalifu Na Dotto Josephati Wananchi Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kudumisha amani na kushirikiana katika maeneo yao ili kuhakikisha vitendo vya uhalifu na ukatili havitokei katika jamii. Wito huo umetolewa na Kamanda wa Jeshi la…