Msaada huo ni sehemu ya Jshi hilo kuendelea kuimarisha ukaribu na ushirikiano kwa jamii Na Hagai Ruyagila Jeshi la Polisi Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma limetoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo sabuni, mafuta ya kujipaka na kanga nguo, kwa wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Mlimani iliyopo Halmashauri ya Mji Kasulu, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha ushirikiano kati ya Jeshi la Polisi…