Capture

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza matokeo ya uchaguzi wa Washindi waliochaguliwa kuwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kwenye viti 20 Zanzibar.

Kwa upande wa Wanaume kuna Waziri wa Ujenzi, Prof Mbarawa 798, Issa Gavu 704 , Joseph Meza (701), Mwenezi-CCM Shaka Hamdu Shaka (698), Mohamed Dimwa (651), Khamis Hamza chilo (637), Amini Salmin (610), Mohamed Aboud (583), Mbarouk Nassor (554), Ab Idrissa (521), Nassir Ally ( 419) KhamisnMbeto (419), Mbarak Said (379) na Abdalla Juma (363)

Upande wa Wanawake Lela Burhan Ngozi (702), Najma Murtaza (686), Tabia Mwita (666), Dkt Saada Mkuya (653) , Amina Khamis (576) na

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *