Capture

CHELSEA imemtimua Graham Potter baada ya kuifundisha kwa miezi saba pekee na pauni milioni 330 zilizotumika katika dirisha la usajili la Januari. Potter aliajiriwa kwa mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya £12m kwa mwaka baada ya meneja mshindi wa Ligi ya Mabingwa Thomas Tuchel kutimuliwa kufuatia mwanzo mbaya wa msimu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *