
Bruno Gomez wa klabu ya Singida Big Star, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Januari wa Ligi kuu Tanzania bara NBC msimu wa mwaka 2022/2023,
Gomez amewashinda Ibrahim Abdallah wa Namungo fc na Henock Mayala wa Polisi Tanzania alioingia nao fainali.
#somethingforeveryone